Nauza miche ya papai mbegu fupi

Nawatakia sikukuu njema marafiki zangu na wateja wangu wote.
Tuweke mikakati kuotesha mipapai au hata miti mbali mbali ya matunda kwenye eneo lako kwa mwaka 2019
 
Hiyo hapo Miche ipo 150 njoo tufanyeje biashara
IMG_20181224_091533.jpeg
 
Hivi wakuu ng'ombe hua anakula papai?niko serious kwny hili swali.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kama upo mbezi ,kinyerezi ,banana,maeneo ya tazara , kigamboni ,mbagala ...Miche naweza kukuletea bore Hadi maeneo hayo maana haipiti week lazima nizuru huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kufika sokoni mbezi bei ya jumla @1500 x50 natamani ningelima Miche mingi,najipa moyo bado Nina muda,Nina eneo ,Nina nguvu ,nina nia ....
IMG_20190220_100610_7.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naendelea kuvuna kila week na zinaendelea kuzaa Kama kawaida
IMG_20190417_211406_278.jpeg
 
Hizo picha zote Ni za kutoka shambani kwangu ...naweza kukupa muongozo wa hayo mafanikio bila hiyana , great things takes time
 
Hiyo Miche ya papai baada ya week 2 hivi itakuwa tayari kuingia shambani Kama unayo nia ya kulima njoo tuyajenge,,na hiyo ya mwendokasi pilipili being rahisi sanaView attachment 1075389
IMG-20190418-WA0004.jpeg
 
Hizo hapo Kama unavyoona Zina miezi 3 toka nioteshe ikiwa mche ....Kama unapenda kilimo nakukaribisha kwa ushauri na hamasa papai Ni kilimo Cha biashara
IMG_20190419_104738_6.jpeg
IMG_20190419_104746_1.jpeg
 
Back
Top Bottom