Nauza miche ya papai mbegu fupi

Calina 69 Miche ninayo
IMG-20181015-WA0004.jpeg
 
Leo nimepita soko LA vetnary wananunua Papai flate price 1500 Liwe kubwa au ndogo .wewe unayesema hulimi Papai nakushangaaaaa
 
Asante Mteja wangu wa thamani kwa kuniamini.Upo misugusugu Mlandizi .
Umenitumia pesa kabla hata Miche haijakufikia .
Uaminifu wangu ndio mtaji
 
Ushauri ni bure kwa Njia ya simu .kama unahitaji kuja shambani kwangu uje kwa ajali ya kujifunza live pamoja na kununua miche.
 
*PAPAI ZINAHITAJIKA*

*KWA MARA YA NYENGINE MSIMU WA PILI NAHITAJI PAPAI ZILIZOKOMAA ELFU 3000 DAR ES SALAAM*

*NIPIGIE SIMU AU NJOO INBOX USEME PAPAI ZILIPO NA UJE NA BEI YAKO TUZUNGUMZE*

*ONYO* *TAFADHALI SITAKI MBABAISHAJI KAMA HUNA PAPAI USINITAFUTE PESA IPO MFUKO WA SHATI*

*IMETOLEWA NA MKURUGENZI - HAYATE ORGANIC FARMS*
*SIMU 0716 508848*
IMG-20180923-WA0030.jpeg
 
Bei ya Miche 2000 unakula baada ya miezi 7/8 inadumu miaka 3 .ni matunzo tu maji na Mbolea ,palizi ....Papai hazinaga makuuu
 
Back
Top Bottom