Naomba utaratibu wa kupata hiyo sadaka, sipo mbali na kiluvyaHeshima kwenu.
Kutokana na malalamiko ya bei nimeamua kupunguza bei toka sh 3000 hhadi 2000 Mche ila nitauza kuanzia Miche 15
Nimeamua hivyo ili kila mmoja wetu aoteshe mipapai tuweza kukuza kipato na hii bei maalumu kwa wana jf.
Kwa atakayechukua kuanzia miche 100 kuna nyongeza ya Miche.
Kama utaweka oda na ukalipia advance bei itapungua zaidi.
Kama huna kabisa pesa na unataka kuotesha miche kila mwezi nitatoa sadaka ya miche (vigezo)
Unaweza kuja shambani kujionea mipapai inavyozaa vizuri
Napatikana kiluvya gogoni (Jirani na mail I moja) 0755404226
1.5kilometa toka lami
Just ungesema tu "nifate inbox",mbona wengine umewajibu kwa replies hapa hapa!!Huna hela? Na Namba YANGU hujaiona?