Nauza miche ya papai mbegu fupi

IMG_20140102_011617.jpg
 
Heshima kwenu.
Kutokana na malalamiko ya bei nimeamua kupunguza bei toka sh 3000 hhadi 2000 Mche ila nitauza kuanzia Miche 15
Nimeamua hivyo ili kila mmoja wetu aoteshe mipapai tuweza kukuza kipato na hii bei maalumu kwa wana jf.
Kwa atakayechukua kuanzia miche 100 kuna nyongeza ya Miche.

Kama utaweka oda na ukalipia advance bei itapungua zaidi.
Kama huna kabisa pesa na unataka kuotesha miche kila mwezi nitatoa sadaka ya miche (vigezo)
Unaweza kuja shambani kujionea mipapai inavyozaa vizuri
Napatikana kiluvya gogoni (Jirani na mail I moja) 0755404226
1.5kilometa toka lami
Naomba utaratibu wa kupata hiyo sadaka, sipo mbali na kiluvya
 
Punguza Maua kwenye bustani uweke mipap
 

Attachments

  • IMG_20180513_151013.jpg
    IMG_20180513_151013.jpg
    235.1 KB · Views: 103
Kuna mdau alilipia Miche 35 na IPO tayari nampigia simu hapatikana week ya tatu sasa
 
Back
Top Bottom