Muda( kipindi) gani mzuri wa kupandikiza hiyo miche? Heka moja inahitaji miche mingapi? Mapapai yake ni matamu?Karubuni
Kipindi chochote ni kipindi kizuri ,kipindi cha mvua ni kizuri zaidi ila tu chunga maji yasituame kwenye miche na kiangazi utahitaji maji kumwagiliziaMuda( kipindi) gani mzuri wa kupandikiza hiyo miche? Heka moja inahitaji miche mingapi? Mapapai yake ni matamu?
Asante sana, nitakutafuta ili unipe hii elimu kwa kina zaidiKipindi chochote ni kipindi kizuri ,kipindi cha mvua ni kizuri zaidi ila tu chunga maji yasituame kwenye miche na kiangazi utahitaji maji kumwagilizia
Kwa maelezo zaidi piga simu au njoo shamba upate nondo zaidi
Mche mmoja unadumu kwa muda gani na unazaa wastani wa mapapai mangapi?Karibu mdau .Papai INA hela sana