Nauza miche ya papai mbegu fupi

Marire

JF-Expert Member
May 1, 2012
12,326
5,263
Heshima kwenu.
Kutokana na malalamiko ya bei nimeamua kupunguza bei toka sh 3000 hhadi 2000 Mche ila nitauza kuanzia Miche 15
Nimeamua hivyo ili kila mmoja wetu aoteshe mipapai tuweza kukuza kipato na hii bei maalumu kwa wana jf.
Kwa atakayechukua kuanzia miche 100 kuna nyongeza ya Miche.

Kama utaweka oda na ukalipia advance bei itapungua zaidi.
Kama huna kabisa pesa na unataka kuotesha miche kila mwezi nitatoa sadaka ya miche (vigezo)
Unaweza kuja shambani kujionea mipapai inavyozaa vizuri

Napatikana kiluvya gogoni (Jirani na mail I moja)
0755404226 what's up
0655404226
1.5kilometa toka lami


NB:ukinunua miche kwangu na ikaenda kufa kwa bahati mbaya utapiga picha utatuma whatsup then nitakupatia mingine bureee hadi miche 15 ...ushidwe wewe tu sasa !!!
 
  1. Sitojibu PM maana nimeweka namba ya simu .
Mapapai matunda pia yanapatikana
 
Wakuu Mbegu ni hybrid a F1 picha sitoweza kuweka simu inasumbua .ila kama wewe ni mkulima kweli njoo uone live hshambani maana nimeotesha mipapai 60 na hakuna jike.
Shamba ni kilometa moja tu toka lami ya kwenda morogoro kituo ni kiluvya gogoni
 
  1. Piga simu 0655404226 sio Mara zote nakuwa na simu inasumbua na inapoteza muda Wa kazi
 

Attachments

  • IMG_20180225_144304.jpg
    IMG_20180225_144304.jpg
    303.7 KB · Views: 349
Mipapai Yangu IPO stage hiyo hapo unaweza kuja na ukajifunza jambo .Mche hadi Mche ni mita 2 Hata kama una eneo dogo unaweza kuotesha mipapai mingi.
 
Miche bado IPO na kama unahitaji mingi unaweka oda na utapata punguzo la bei au nyongeza ya Miche
 

Attachments

  • IMG_20180225_144405.jpg
    IMG_20180225_144405.jpg
    274.7 KB · Views: 249
Usiandike private massage .kila kitu nimeelekeza na Namba za simu zipo
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom