Nauza miche ya papai mbegu fupi

Niliutelekeza Uzi Ila sijawaza kuacha kulima papai na naendelea kuvuna na kuotesha mapya
IMG_20190608_110749_965.jpeg
IMG_20190708_132456_1.jpeg
 
Miche ipo Bei 2000
Ushauri bure
Location kiluvya gogoni dsm
Mkoni tunatuma :

Dsm nakusogezea karibu na kituoni kwako

Simu ;0756404226

Nitakuelekeza maandalizi ya Nini Cha kufanya kabla hujaotesha ili uje uvune matunda mengi na Bora kabisa
IMG_20190720_085845_1.jpeg
 
Nitaanza kufanya delivery kwa wakazi wa dar lakini shariti ulipia kwanza kabla hujaletewa Miche ...

Usisahau ushauri Ni bure na nitakuunganisha na wanunuzi wa papai zako
 
Muda upo ,shamba lipo hapa tunagombana na Muda tu ,maana muda mchache Mambo mengi...kila dakika nayoipata naitumia shambani ...

Miche ipo ushauri wa bureee kabisa
What's up 0755404226
IMG_20190906_085240_002.jpeg
IMG_20190906_085240_003.jpeg
IMG_20190904_085059_475.jpeg
IMG_20190902_143756_4.jpeg
 
Back
Top Bottom