Wapi linapatikana soko la chia seed kwa hapa Dar na mikoani

Ahsante kwenye post faida zake zimewekwa kwenye link ikiwa ukiziona hizi ndizo faida ya mbegu za Chia.
Moja Ina virutubisho vingi vinavyohitajitaka mwilini na madini , vitamini na Protein pia ina omega 3 na omega 6
Mbili Inaimarisha Mifupa kutokana na kuwepo kwa madini mengi na hasa ya calcium inasaidia kuwa na afya bora ya mifupa na inasahidia kwa watoto na vilevile wakinamama kutosababisha mifupa kuwa mepesi hasa baada ya kukoma siku zao
Tatu Inaimarisha Afya ya ubongo kutokana na kupatikana kwa omega 3 na 6 yaani kama kwenye samaki inasaidia seli za ubongo kuwa vizuri na hiyo kufanya kazi sawa sawa.
Nne inasaidia katika mmeng'enyo wa chakula kwa kuwa zina fiber nyingi kwa wale ambao pia wananenepa kwa kuwa wanashidwa kumeng'enya chakula vizuri mbegu za chia zina fiber nyijngi sana ambazo zinasaidia hilo na vilevile watu wanapendelea kupunguza uzito ukila vijiko viwili vya chia seeds unaweza kutojisikia njaa kabisa siku nzima kwa sababu nazo zinatanuka karibu mara kumi zaidi.
Tano Huimarisha afya ya moyo kwa kuweka kwenye uwiano sawa kiwango cha lehemu mwilini
Sita NI Antoxidants ambayo inasaidia sana katika kurepair sell za mwili na hivyo kukufanya uwe na muonekano mzuri kwa kuwa seli zinaishi muda mrefu na hivyo kupunguza dalili za kuzeeka kwa kuongoa makunyazi ya ngozi.
Saba inasaidia kubalance na kuweka vyema (Kuregulate) sukari mwilini hivyo kuwasaidia watu mwenye kisukari wasipate madhara yanayoletwa na kisukari lakini vile vile inasaidia watu walio kwenye hatari kutopata ugonjwa huo. Kwa mahitaji yako tupigie 0788-318671. Ahsante

Na kama unataka kuangalia video nayo click kwenye link hapo chini

Nakushurukuru Tena

Unaonaje kama ungeandika faida za hizo mbegu
 
Nashukuru kwa Taarifa ila naona kama kuna faida nyingine umeziacha hivi. Hii imekuwa inatumika sana katika kupunguza uzito kwasababu inaumuka sana na hivyo kumfanya mtu anayekula asisikie njaa haraka. Hilo ni moja ya tatizo kubwa sana sasa Obesity watu kuwa na vitambi na vitambi vikubwa ( wanaume kwa wanawake) kwa sababu ya kula sana wanga na simple sugar foods.
Binafsi nimeeondoa kilo nne ndani ya mwezi nimekuta nikila hizi jamaa si sikii njaa na nikila nakula kidogo nashimba hivyo na ninakuwa na nguvu kweli kweli.
Keep it up Bro
Kwenye maisha yetu ya sasa hizi mbegu ni supplements nzuri kwa afya ya familia zetu
 
Ahsante kwenye post faida zake zimewekwa kwenye link ikiwa ukiziona hizi ndizo faida ya mbegu za Chia.
Moja Ina virutubisho vingi vinavyohitajitaka mwilini na madini , vitamini na Protein pia ina omega 3 na omega 6
Mbili Inaimarisha Mifupa kutokana na kuwepo kwa madini mengi na hasa ya calcium inasaidia kuwa na afya bora ya mifupa na inasahidia kwa watoto na vilevile wakinamama kutosababisha mifupa kuwa mepesi hasa baada ya kukoma siku zao
Tatu Inaimarisha Afya ya ubongo kutokana na kupatikana kwa omega 3 na 6 yaani kama kwenye samaki inasaidia seli za ubongo kuwa vizuri na hiyo kufanya kazi sawa sawa.
Nne inasaidia katika mmeng'enyo wa chakula kwa kuwa zina fiber nyingi kwa wale ambao pia wananenepa kwa kuwa wanashidwa kumeng'enya chakula vizuri mbegu za chia zina fiber nyijngi sana ambazo zinasaidia hilo na vilevile watu wanapendelea kupunguza uzito ukila vijiko viwili vya chia seeds unaweza kutojisikia njaa kabisa siku nzima kwa sababu nazo zinatanuka karibu mara kumi zaidi.
Tano Huimarisha afya ya moyo kwa kuweka kwenye uwiano sawa kiwango cha lehemu mwilini
Sita NI Antoxidants ambayo inasaidia sana katika kurepair sell za mwili na hivyo kukufanya uwe na muonekano mzuri kwa kuwa seli zinaishi muda mrefu na hivyo kupunguza dalili za kuzeeka kwa kuongoa makunyazi ya ngozi.
Saba inasaidia kubalance na kuweka vyema (Kuregulate) sukari mwilini hivyo kuwasaidia watu mwenye kisukari wasipate madhara yanayoletwa na kisukari lakini vile vile inasaidia watu walio kwenye hatari kutopata ugonjwa huo

Na kama unataka kuangalia video nayo click kwenye link hapo chini

Nakushurukuru Tena

Asante sana mkuu
 
Heri ya mwaka mpya. Katika kufikia moja ya malengo yako ya kuwa na afya njema katika mwaka 2019 ongeza Chia Seeds kwenye milo yako na vilevile upate faida ya kupunguza uzito uliopitiliza. Tupigie 0788-318671 Karibu
 
Wanajamii forum hususani watu wa kilimo karibuni niwauzie Chia seeds bora na kwa bei nafuu,tuwasiliane kupitia namba hii 0622 296251
20181110_104431.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimepata kitu changu cha Chia iliyosagwa napiga kwenye mtindi wangu baridi kwenye saa tano asubuhi vijiko viwili kwa kweli ilibidi niskip lunch leo jinisi nilivyokuwa nimeshiba hii kitu. Kiboko kwa wale tuliobahatika kula ugali wa uwele naamini hivi vimbegu vidogo vidogo vinakaa sana tumboni. Nimeelewa ni kwanini inasaidia kukuata uzito maana kitu kidogo tuu tumbo linakaa vizuri. Kweli maarifa yataongezeka siku hizi
 
Karibu ndugu yangu naamini unaendelea vyema. Yaa tujitahidi kuttumia vitu ambavyo vimejaribiwa kwa miaka mingi iliyopita kwa ajili ya kuweka afya zetu vyema hata kama ni vigeni kwenye masikio yetu na ufahamu wetu. Tutafute kwenye 0788-318671 Karibuni

Nimepata kitu changu cha Chia iliyosagwa napiga kwenye mtindi wangu baridi kwenye saa tano asubuhi vijiko viwili kwa kweli ilibidi niskip lunch leo jinisi nilivyokuwa nimeshiba hii kitu. Kiboko kwa wale tuliobahatika kula ugali wa uwele naamini hivi vimbegu vidogo vidogo vinakaa sana tumboni. Nimeelewa ni kwanini inasaidia kukuata uzito maana kitu kidogo tuu tumbo linakaa vizuri. Kweli maarifa yataongezeka siku hizi
 
kimsingi hii sio dawa ni chakula na tatizo la nguvu ya kiume kuna ambayo inahitaji dawa na ambayo inahitaji kubadilisha jinsi ya kuishi (Life style changes). Jambo kuu ni kuhakikisha unapata mlo kamili ambao uko una makundi yote saba ya chakula ili mwili ukae vizuri. Mtu anaweza kutumia akaona kuwa anakuwa na nguvu kwasababu mbegu hizi zina madini mbalimbali na Omega 3 na 6 hivyo kuona kuw inamsaidia ila wataalamu wa afya watakueleza sio chakula kimoja kina vitu vyote unavyohitaji. Hi ni moja ya supplement muhimu ila tumia na vyakula vingine ili upate kuwa na afya bora. Karibuni nikuhudumie hakuna hype ni uhalisia

ZINASAIDIA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME?
 
Heri ya mwaka mpya. Katika kufikia moja ya malengo yako ya kuwa na afya njema katika mwaka 2019 ongeza Chia Seeds kwenye milo yako na vilevile upate faida ya kupunguza uzito uliopitiliza. Karibu
Mayai ya Kware mlikua mnasemaga hivi hivi,sasa hivi yako wapi tena? msitumie umaskini wa watanzania kuwaingiza chaka....kesho kwa Mungu kuna moto
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom