Nauza mbegu za chia (CHIA SEEDS)


Consultant

Consultant

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2008
Messages
7,486
Likes
9,856
Points
280
Consultant

Consultant

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2008
7,486 9,856 280
Hii natumika sana katika kupunguza uzito kwasababu inaumuka sana na hivyo kumfanya mtu anayekula asisikie njaa haraka.
Hii sayansi ya "kuumuka na kumfanya mtu asisikie njaa" imekaaje? kuna mtu mwingine akishaweka kitu kwenye sahani, lazima agonge chote kiishe regadless tumbo lake "limeumuka" kwa kunywa maji, juice au chea seed.
 
Tumainiandy

Tumainiandy

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2014
Messages
388
Likes
19
Points
35
Tumainiandy

Tumainiandy

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2014
388 19 35
Ni kwamba mbegu ya chia inauwezo wa kuumuka mpaka mara kumi yaa. na kwa kuwa inavirutubisho vinavyotakiwa kwenye mwili inamsaidia mtu ambaye hawezi kujipima msosi kuweza kula vyakula vingine kidogo. Kama inavyojulikana kuwa lifestyle ndio chanzo kikubwa cha magonjwa yasiambukiza( Non Communicable Diseases) hii ikiwa iko katika moja ya vifaa( tools) zako inaweza kukufanya upungue bila kujiumiza au kukaa na njaa sana. Watu wengi waliojitahidi kupunguza uzito wanajua kuwa wamefanya jitihada fulani ila ili ufanikiwe katika hili sio sio kuwa na diet tu unatakiwa kubadilisha mtindo wa wamaisha bila kufanya hivyo itapunguza kilo 3 leo baada ya miezi mitatu unaongeza 5. Sasa katika kubadilisha mtindo wa maisha yaani kuweka balance diet, kufanya mazoezi na kupumzika vya kutosha. Chia inakusaidia hapo kwenye kueweka balance diet ambayo hainenepeshi na vilevile inakupa kupunguza kula vyakula vingine kwa wingi ambao ndio chanzo cha watu kunenepa kula chakula kingi kuliko mwili unavyohitaji.
Napenda kusisitiza hili kuwa kula chia pekee yake hatakusaidia kama hutakubali kubadilika katika mlo ambapo utatakiwa kula milo kamili wanga kidogo( Ugali Wali, Ngano hakikisha isizidi ukubwa wa ngumi yako), Mbogamboga ( Nusu ya sahani yako), Protein 15%-20%( Maziwa, Maharage, Nyama, Samaki, Soya, Choroko, Kunde....) ya sahamani unamalizia na Matunda. Ukifuata aina hii ya mlo na mazoezi kidogo atleast mara tatu kwa wiki unaweza kuanza kwa kutembea kila siku hatua 10,000/ baada ya miezi mitatu njoo toa shukraniHii sayansi ya "kuumuka na kumfanya mtu asisikie njaa" imekaaje? kuna mtu mwingine akishaweka kitu kwenye sahani, lazima agonge chote kiishe regadless tumbo lake "limeumuka" kwa kunywa maji, juice au chea seed.
 
N

Nyumbalao

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2014
Messages
379
Likes
355
Points
80
N

Nyumbalao

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2014
379 355 80

Forum statistics

Threads 1,262,346
Members 485,558
Posts 30,120,901