Wapi linapatikana soko la chia seed kwa hapa Dar na mikoani

Arista

Senior Member
Feb 25, 2018
138
103
Wilaya za Karagwe na Kyerwa sasa wananchi wamekuwa maarufu kwa kilimo cha chia,soko ndo limeanza kuwa tatizo kwa wale ambao mnahitaji chia kilo moja ni tsh 15,000/=tuwasiliane kwa namba 0622 296251
 
Duuh,mm nilinunua sijui ni robo ile kwa 10000 bado ninayo lakini mpaka leo,japo ni nzuri na nnatumia kwa matumizi yangu binafsi mbegu hizi za chia.
 
Chia seeds zinapatikana kwa bei poa kabisa. 25000 kwa kilogram kama utachukua kilo 5 na kuendelea. chini ya hapo, 35,000 kwa kilo moja na 17,500 kwa nusu kilo.


Faida za Chia Seeds.

- Inasaidia moyo kufanya kazi yake vyema na kuzuia matatizo yatokanayo na umri unavyosogea.
- Nafaka iliyomo ndani mbegu za Chia inasaidia kufufua seli za mwili na kuziimarisha
-Chia seeds zinasaidia kusaga chakula katika kiwango kile kinatakiwa na mwili
-Chia seeds zinaimarisha kinga ya mwili na kukukinga na maradhi nyemelezi
- Chia seeds zinaupa nguvu mwilini
- Zinasaidia wenye shida ya sukari na pressure
- Zinasaidia kukupa usingizi mzuri
- Zinaondoa shida ya tumbo hasa wenye shida kwenye usagaji wa chakula na kutokupata choo
-Matumizi ya mbegu hizi kwa mama mjamzito ni muhimu sana kwani zina virutubisho vingi muhumu kwa mama pia mtoto aliyeko tumboni. mfano wa virutubisho hivyo ni Omega 3
- Chia seeds zinachoma mafuta ya tumboni, hivyo zinasaidia sana kuondoa KITAMBI.

Jinsi ya kutumia.
-Asubuhi kabla ya kula chochote weka vijiko viwili vya chakula kwenye kikombe weka maji ya moto ukipenda kamulia limao. Kunywa mchanganyiko huo. Itakupa nguvu na kukushibisha kunywa chai yako baada ya nusu saaa au zaidi.
-Unaweza pikia kwenye chakula chako kama mchuzi wa samaki nyama au kuku
- Inafaaa kuchanganya kwenye uji ,maziwa ,juice maziwa mgando, smoothies, fruit salad, vegetable salad nk
- Unaweza nyunyiza juu ya chakula chako wakati wa kula kama wali, ndizi, supu, nk
- Unavyozidi kutumia ndivyo matokeo utaona kwa haraka
-Chia ni chakula muhimu na adimu sana. Tumia Chia Seeds upate kinga ya mwili imara uepukane na magonjwa sugu.

Karibuni sana muweke afya zenu sana kwa chia seeds hasa mnaosumbuliwa na unene uliopitiliza, unapungua kwa mbegu asilia kabisa.
mawasiliano: 0657 317631 (call, message, whatsapp)
CHIA SEEDS.jpg
 
Last edited:
Chia inatibu Vipi Maana nmesikia mpk ukimwi inatibu, hii sio promo ila ikilipa nami unanikatia
 
Hamna hata kapicha. Na pia ungeeleza chia seeds ni nini na inatibu nini ili kidogo watu wote waelewe maana sio wote wanaoijua.

Punguza kuulizwa maswali yasiyo na ulazima
 
hahahaha, kutibu UKIMWI siyo kweli mkuu. Na ingekuwa inatibu UKIMWI sidhani kama bei yake ingekuwa hii tunayouzia.

Unadhani gharama ya dawa inakuga wapi mkuu? Kwenye formula ndio siri zote zilipo.

Angalia hata tangazo halisemi matayarisho mpaka ukate ‘pochi’
 
Yaan imekosekana swala nguvu za kiume tu hapo.

Maana hadi leo mayai ya kware sijui yaliishia wapi among other products under na natural products advertisement?!

Maana siku hizi tumehamia kwa swaga za non commumicable disease ambazo ni zinasababishwa na life style. Sasa hata utumie mbegu tan 100 kama hubadilishi unavoishi na unachokula tatizo litabakia hapo hapo.

Acha tubaki maskini labda tutabadilika yesu akirudi.

Nothing personal.
 
Yaan imekosekana swala nguvu za kiume tu hapo.

Maana hadi leo mayai ya kware sijui yaliishia wapi among other products under na natural products advertisement?!

Maana siku hizi tumehamia kwa swaga za non commumicable disease ambazo ni zinasababishwa na life style. Sasa hata utumie mbegu tan 100 kama hubadilishi unavoishi na unachokula tatizo litabakia hapo hapo.

Acha tubaki maskini labda tutabadilika yesu akirudi.

Nothing personal.


Wewe unalalamika tu, hujala takataka (vumbi) la Kongo. Kwani siku hizi watu wanakula hata mavi ya njiwa, unachemshia kwenye chai ili ikupe nguvu ya kiume. Tunadanganyana sana.
 
Hii bidhaa ni nzuri sana kwa nchi za nje
Kama packaging ni nzuri ungeuza hata nje kwa uhakika wa kupata hela nzuri
 
Back
Top Bottom