Nauza mayai ya kuku

freemoney

Senior Member
May 21, 2012
109
6
habari wana jamiiforum. kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu mimi na familia yetu ni wafugaji and kwa sasa kuku wameanza kutaga kwa kasi ila soko limeyumba, so kama kuna mtu anaitaji mayai kwanzia tray 10 na kuendelea ata adi 500 na bei ni sh 6500 ila ukichukua tray nyingi tutakupunguzia bei. anaweza kunipa taarifa au kama anasehemu anauhakika kua wataitaji mayai tafathali tuwasiliane kwenye 0716-369299
 
Unapatikana wapi? Mayai ya layers au ya kienyeji?
 
Mimi napatikana makongo juu, na mayai ni ya layers.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom