Nauza mashine ya selcom

kiri12

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
635
554
Habari wanajamvi, mi ninauza mashine ya selcom, ni mpya kabisa, sababu ya kuiuza ni kurudisha pesa yangu maana eneo nililopo hakuna mzunguko wa watu wengi, mashine ni mpya kabisa mwenye laki sita na nusu anipm, maongezi yapo.
 
hiyo mashine ya selcom inafanya kazi gani mkuu? ina faida gani?nafikiri sio kila mtu ana uelewa nayo..pia nini tofauti ya hiyo bei ya used vs mpya?
 
hiyo mashine ya selcom inafanya kazi gani mkuu? ina faida gani?nafikiri sio kila mtu ana uelewa nayo..pia nini tofauti ya hiyo bei ya used vs mpya?
Inatoa huduma mbalimbali, kama kuuza luku na zingine
 
Kitu hata ukikutoa dukani sasa hivi kikishhafika mkononi haina thamani Tena

Kwa bei hiyo sawa nadukani hupati kitu
 
Inaweza kutumika mikoani ?
I mean vijijini ambako kuna shida ya mtandao?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom