Nauza mashine ya kusaga nafaka kwa bei yakutupa

mr_penguin

Member
Jul 5, 2018
31
23
Nauza mashine za kusaga nafaka na kukoboa zipo 3 na zina vibali vyote nimetumia kwa muda wa miezi 7 hazina tatizo lolote.napia ntakupatia na offer ya mashine ya kufunga mifuko.kwa pamoja nahitaji milioni 16...napatikana kigamboni kama unahitaji nipigie 0786049840....nna document zote
IMG_20190225_120814.jpg
IMG_20190225_120808.jpg
IMG_20190225_120804.jpg
IMG_20190225_120801.jpg
IMG_20190225_120758.jpg
IMG_20190225_120751.jpg
IMG_20190225_120742.jpg
IMG_20190225_120734.jpg
IMG_20190225_120727.jpg
IMG_20190225_120719.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa natamani sana siku moja nimiliki machine kama hiyo...ila sioni kama kuna soko zuri...Mkuu eneo lina biashara nzuri?
 
Back
Top Bottom