Nauza mashine ya kusaga na kukoboa

AL ADAWY INDUSTRIES

New Member
Oct 13, 2018
4
3
Ninauza mashine ya kusaga, kukoboa pamoja na diesel engine yake bei milion 2.5 negotiatable...mashine zipo Mwanza mkolani
IMG-20190113-WA0003.jpeg
IMG-20190113-WA0002.jpeg
IMG-20181224-WA0016.jpeg
IMG-20181224-WA0008.jpeg
IMG-20181224-WA0009.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • IMG-20181225-WA0009.jpeg
    IMG-20181225-WA0009.jpeg
    57.7 KB · Views: 99
  • IMG-20181225-WA0007.jpeg
    IMG-20181225-WA0007.jpeg
    64.4 KB · Views: 73
Ongeza ushawishi kidogo, tatizo nini? biashara ngumu au madeni.
Maana mtu asije akanunua afu akaanza kusoma namba.
 
Kuhusu changamoto kiongozi nafikiri unafaham hakuna biashara isiyokuwa na changamoto za hapa na pale, kwa upande wangu changamoto ninazopitia ni upatikanaji wa nafaka(mahindi/mpunga) eneo nililopo sio kijijini na hakuna wakulima.sasa inanilazimu niagize kutoka vijijini cost inakuwa kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lengo la kuuza ni kuongeza hela na kubadilisha mfumo wa biashara.kama unavyoona mashine hiyo ni proposed kwa vijijini mahala pasipokuwa na umeme. Sisi tunahitaji mashine mpya za kisasa kutokana na mazingira tulipo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu changamoto kiongozi nafikiri unafaham hakuna biashara isiyokuwa na changamoto za hapa na pale, kwa upande wangu changamoto ninazopitia ni upatikanaji wa nafaka(mahindi/mpunga) eneo nililopo sio kijijini na hakuna wakulima.sasa inanilazimu niagize kutoka vijijini cost inakuwa kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna kitu kinakataa kuunga hapa....:oops:
 
Back
Top Bottom