Nauza majogoo ya kienyeji

Mkulima wa Kuku

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
1,270
533
Mimi ni mfugaji mdogo na ninauza majogoo ya kienyeji yanayoanza kuwika. Ni makubwa kwa size (breed kubwa). Yako kama 20 hivi na nataka kuyauza yote kwa mtu mmoja. Kama uko -interested unaweza kunitafuta kwa 0762413132. Bei maelewano.
 
Tafuta mdau ajuaye namba za simu ama mhusika pale Brekpoint utapata msaada au kama una uwezo wa kufika kama uko dar fika mwenyewe ufanye mambo.ubarikiwe

Mimi ni mfugaji mdogo na ninauza majogoo ya kienyeji yanayoanza kuwika. Ni makubwa kwa size (breed kubwa). Yako kama 20 hivi na nataka kuyauza yote kwa mtu mmoja. Kama uko -interested unaweza kunitafuta kwa 0762413132. Bei maelewano.
 
Mimi ni mfugaji mdogo na ninauza majogoo ya kienyeji yanayoanza kuwika. Ni makubwa kwa size breed kubwa. (Yako kama 20 hivi) na nataka kuyauza yote kwa mtu mmoja. Kama uko -interested unaweza kunitafuta kwa 0762413132. Bei maelewano.

mfanyabiashara unatakiwa ueleweke. Hapo nilipofungia mabano inamaanisha hujui idadi kamili au?
 
Back
Top Bottom