Nauza mafuta ya nazi kwa ajili ya kupikia

Aidanna

JF-Expert Member
Oct 25, 2019
1,612
2,378
Wakuu habari, nauza mafuta ya Nazi kwa kupikia, ni mazuri sana hayajachanganywa na chochote. Lita ni Elfu 30000/=
Mawasiliano 0655800252
Unaletewa popote ulipo Tanzania
 
Wakuu habari, nauza mafuta ya Nazi kwa kupikia, ni mazuri sana hayajachanganywa na chochote. Lita ni Elfu 30000/=
Mawasiliano 0655800252
Unaletewa popote ulipo Tanzania
Lita 30,000/=????
Ina maana robo nayotumia kwa siku ni 7,500/=, si heri tu nikanunue Nazi yenyewe nipikie nitapata hata kwa 750/=, (1/10) ya bei yako??

Na wewe Mpaka upate lita moja unatumia nazi ngapi? Nini faida ya hayo mafuta badala ya Nazi yenyewe?
 
Kwa mtu akinunua mafuta ndio unaweka na nazi ndani ya mafuta?
Ukinunua mafuta ya nazi haina haja tena kununua nazi maana liletui la nazi ndo linatoa hayo mafuta ata ukichukua yale machicha ya nazi ukiyakamua utaona mafuta kwenye mkono wako
 
Lita 30,000/=????
Ina maana robo nayotumia kwa siku ni 7,500/=, si heri tu nikanunue Nazi yenyewe nipikie nitapata hata kwa 750/=, (1/10) ya bei yako??

Na wewe Mpaka upate lita moja unatumia nazi ngapi? Nini faida ya hayo mafuta badala ya Nazi yenyewe?

Faida uwezi hifadhi tui LA Nazi zaidi ya week likawa na virutubisho sawa na LA Sikh moja... Ila mafuta ya Nazi unaweza hifadhi mwezi na zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom