Nauza machine ya hiti printer ya passport size express (mpya)

Bei, uwezo, imetumika kwa muda gani na ulinunua bei gan ili tupige depreciation rate, ikibidi na picha zake weka hapa
 
Bei, uwezo, imetumika kwa muda gani na ulinunua bei gan ili tupige depreciation rate, ikibidi na picha zake weka hapa

Ni mpya, ina uwezo wa kusafisha passport 8 ktk paper moja, pia ina uwezo wa kusafisha picha moja nzima, more information piga # iyo
 
Ni mpya, ina uwezo wa kusafisha passport 8 ktk paper moja, pia ina uwezo wa kusafisha picha moja nzima, more information piga # iyo

Waswahili sijui tutakuja jua biashara lini unauza kitu unauwezo wa kuandika info zote muhimu ili mtu akizipitia ka zimemkuna akicheki we unataka kupigiwa simu haya bana
 
mi nahisi huyu jamaa mwizi tu au labda hajui taratibu za kutangaza biashara
 
Ulishauza ile mashine ya hiti ya passport size? Kama ndiyo ningependa kujua naweza kupata wapi na kwa bei gani? 0754414700
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom