Nauza Laptops

mgeniwadunia

Member
Aug 7, 2008
37
15
Wakuu:

Niko na used laptops ninaouza. Specifications na bei ni kama hivi:

1. Dell Inspiron 1100 (speed=2.4 GHz (intel Celeron); RAM=512 MB; Hard drive memory=40GB)
Bei= 435, 000 TZS

2. Dell Latitude D600 (speed=1.4 GHz (intel pentium M); RAM=512 MB; Hard drive memory=20GB)
Bei=375,000 TZS

3. Dell latitude C640 (speed=2.2 GHz (intel pentium 4); RAM=256 MB; Hard drive memory=20GB)
Bei=260,000 TZS

4. Dell latitude C640 (speed=2.0 GHz(Intel pentium 4); RAM=512 MB; Hard drive memory=20GB)
Bei=265,000 TZS

5. Dell Latitude D520 (speed=1.6 GHz (intel core 2); RAM=1GB; Hard drive memory=40GB)
Bei=675,000 TZS

Nipigie simu 0713-443-344 tuwasiliane.

Ahsanteni.
 
Sasa Mbona simu yako ndio hivyo tena . NOT REACHEABLE? au ndio Bongo Darisalaam yenyewe kwenye JF loh. kuwa hewani basi kama uko serious.
 
Sasa Mbona simu yako ndio hivyo tena . NOT REACHEABLE? au ndio Bongo Darisalaam yenyewe kwenye JF loh. kuwa hewani basi kama uko serious.

Bongo kutumia line hiyo hailipi................may be yuko ndani ndani tanganyika huko!
 
Lol! kwetunikwetu wewe mkali...

Samaha kwa wale walipiga simu. Hio nambari ilikuwa na shida. Nimeshapata nambari mpya:

0713-443-344. Uliza useme na Hassan...

Niko upande wa mnazi mmoja intersection ya Lumumba na Nkrumah road...
 
Poa tumekupata mkuu......mcheki Fred pale Chef pride anaweza kuwa na order....!
 
Nilifikiri anayo moja anaiuza kwa kuchacha kumbe ni duka kabisa, hivi kalipia sh, ngapi ya matangazo au ni bure
 
Nilifikiri anayo moja anaiuza kwa kuchacha kumbe ni duka kabisa, hivi kalipia sh, ngapi ya matangazo au ni bure

Aaaah mkuu huko umefika mbali..........we mchaga nini? Akina Kitomai wanarusha matangazo ya kuuza magari humu itakuwa jamaa na hivi viji-used laptops!
 
Bongo kutumia line hiyo hailipi................may be yuko ndani ndani tanganyika huko!

Mkuu duh nyumba yako imetulia, nataka kuuliza hvi ukitaka kupanda ghorofani kunapandia wapi? au kuna lift ndani kwa ndani? usalama kwa walio juu ukoje manake mmmhhh..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom