Mkuu mbona bei imesimama sana hivyo, hii ikiwa mpya kabisa inatembea ngapi?Used
Hapo nimekupata Mkuu.Hzo bei ni fair mzee tunaagza nje zpo juu hata kama used,inachotofautiana na mpya ni kukosa kwake box tu
Mpya $1,573.95 bado haujasafrisha na mengneyo hapo
Mkuu kwa hizo bei, zinaenda kweli chief.MSI gaming machine
Core i7 - 7th gen
RAM 16gb
HDD 1tb
SSD 256gb
Nvidia Gtx 1060(6GB Dedicated)
Used
0784545494
Bei 2,850,000
Tupo Karibu na Mlimani City Mall Njia ya kwenda Survey/Ardhi University.
View attachment 1751559
Hizi pc zilizopostiwa zina dedicated GPU za nvidia.Kamwe siwezi kutoa zaidi ya laki tano kwa PC used ambayo ipo kati ya generation ya 2 hadi ya 7.
Bora wewe used, mm ata mpya siwezi nikatoa zaidi ya kilo nne.Kamwe siwezi kutoa zaidi ya laki tano kwa PC used ambayo ipo kati ya generation ya 2 hadi ya 7.
Sasa mkuu kama GPU ni kubwa halafu CPU ni ndogo,hiyo GPU utaifanyia nini?Hizi pc zilizopostiwa zina dedicated GPU za nvidia.
Mkuu ni wapi naweza pata laptop zenye gpu walau Nvidia Gtx 1060 ya 2016 kwa hiyo 500k, maana nvidia 1060 gpu pekee price tag yake ilikuwa ni $300.
Gpu ikiwa kubwa na cpu ikiwa bado unaweza kucheza games japo kutakuwa kuna bottleneck ya kupoteza fps kwa baadhi ya gamesSasa mkuu kama GPU ni kubwa halafu CPU ni ndogo,hiyo GPU utaifanyia nini?