NAUZA LAINI ZA UWAKALA

Jan 26, 2017
63
67
Wadau nauza Laini za uwakala vodacom M-pesa na Tigo Tigopesa Laini haijafanya Transaction yeyote we utakayenunua Ndo utaibikiri...kwa Mawasilino zaidi nicheki Acha namba yako nitakupigia kwa Maelezo zaidi....karibuni
 
Mkuu kuna watu unataka kuwakamata humu kwa nini usingeacha yako.humpati mtu humu
 
Wadau nauza Laini za uwakala vodacom M-pesa na Tigo Tigopesa Laini haijafanya Transaction yeyote we utakayenunua Ndo utaibikiri...kwa Mawasilino zaidi nicheki Acha namba yako nitakupigia kwa Maelezo zaidi....karibuni
Kwani vodacom Na Tigo wameoshiwa hizo line mpaka watu waje kununua kutoka kwako,Ili kuwa Na uhakika Na kuepuka utapeli au wizi kwenye miamala Ni Bora ukachukua line ya uwakala kutoka kampuni husika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom