Nauza laini ya uwakala wa airtel money

djesco

Senior Member
Jun 26, 2013
166
52
Habari wakuu nauza laini yangu ya uwakala wa airtel money,bei tsh.100000/=,napatikana dar kama waitaka nipm
 
laini ya airtel money haina dili, gawa bure tu[/QU
natamani nikutukane ila naogopa ban. Afu mtoto wa kiume usipende bure siku utaliwa kabang shauri yako eti bure wewe unajua jinsi nilivohangaika kuipata!?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom