Nauza kura yangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nauza kura yangu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ManCity, Jun 11, 2011.

 1. ManCity

  ManCity Member

  #1
  Jun 11, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau

  Majuzi nlipita mahali nikasikia wimbo wa NAUZA KURA YANGU, hivi hatuwezi sambaza wimbo huu kila KONA ya Tanzania watu wakajua vitu vya msingi pale mgombea anapotaka kununua KURA zao?

  Embu pateni kusikiliza afu tuanze kusambaza wimbo huu kote Tanzania towards 2015 mana tunaelekea pabaya

  Radio Mbao TV - Nauza kura yangu-Bonta
   
Loading...