Nauza kuku wa nyama-broiler

Wacha masikhara,mwezi na siku5 Si bado nao, sasa kivipi uuze 5500??? Anyway nao kawaida wakikomaa ni elf 5 rejareja
 
Mbona we mswahili sana,na hutoendelea...we kama mfugaji unaongea ujinga huo...haya endelea
Naona hujui bei ya soko, au ndio ufugaji wa awali?? me mwenyewe ninayo kibao hapa,kama vipi yakuze ili uje uyauze jumla kwa watu wa catering. Bt sio mojamoja
 
We si unao wako unahangaika na post yangu ili iwaje,acha uswahili kuwa mtu mzima anaejielewa usilazimishe mambo wewe utakavyo,hunijui na sina haja ya kujielezea kwako so we kaa pembeni hangaika na wako.

Wapo wangapi mkuu...?
 
We si unao wako unahangaika na post yangu ili iwaje,acha uswahili kuwa mtu mzima anaejielewa usilazimishe mambo wewe utakavyo,hunijui na sina haja ya kujielezea kwako so we kaa pembeni hangaika na wako.
Hatutaki kujuana Bali biashara yako ndio unataka tuijue, wanaume wa Dar mnapanic haraka, punguzeni soseji na yai moja ktk breakfast
 
Mtu akiwa sio mnunuzi ni vyema akapita kimya, tuwe waungwana kwenye vitu serious ukiwa mstaarabu utamcheck jamaa PM kama una ushauri. Najua wafanyabiashara na waungwana wameelewa.
 
WaTz tu watu wa ajabu sana! Kama sio mnunuzi ya nini kuharibu tangazo lisilokuhusu? Kwa mentality za aina hii kazi ipo!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom