Beki wa Kushoto
Member
- Sep 20, 2018
- 8
- 6
Unapatikana wapi mkuuKuku wamefika ukihitaji nipigie simu 0692669235
Unapatikana wapi mkuuKuku wamefika ukihitaji nipigie simu 0692669235
Aya matetea matamu Sana,ukiyachemsha na kuyala kwa mkate asubui Kama kifungua kinywa
duh mkuu unataka kwa 2000?Hiyo bei ya 5000 kwa kuku ni kubwa sana. Punguza bei
Mkuu Inabidi uniambie upo sehem unipe na namba zako unielekeze kuliko na kuku wanaouzwa bei rahisi huko singida utakua umenisaidia kweli maana nakoagiza kuku wanauzwa bei adi napata faida kidogo ntashukuru ukinisaidia kwa hili