Nauza Kuku wa kienyeji kutoka Singida

Ukifanya biashara na kuitangaza Jf

ni lazima uwe na roho ya shubiri

Maaana......


Chief
Kuwa na subira
Mola akufanyie wepesi katika biashara yako
 
Ukifanya biashara na kuitangaza Jf

ni lazima uwe na roho ya shubiri

Maaana......


Chief
Kuwa na subira
Mola akufanyie wepesi katika biashara yako
Mkuu mbona napata wateja kupitia humu humu jf
 
..
tapatalk_1565443350291.jpeg
 
Mkuu Inabidi uniambie upo sehem unipe na namba zako unielekeze kuliko na kuku wanaouzwa bei rahisi huko singida utakua umenisaidia kweli maana nakoagiza kuku wanauzwa bei adi napata faida kidogo ntashukuru ukinisaidia kwa hili

Mkuu mi nipo shinyanga bei yake ni rahisi sana,, mi nauzaga kuku wasiliana nami kwa 0766063338
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom