Nauza kontena la futi 20

EVAVA

New Member
Jun 11, 2013
3
0
Nauza kontena lenye urefu wa futi 20. Limekatwa mlango pamoja na madirisha. Kwa sasa linatumika kwa biashara ya stationery. Ukiliona ni kama jipya. Bei ni milioni 5.5, mazungumzo yapo. Lipo Mjini Moshi. Mawasiliano 0754 484262
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom