Nauza kiwanja

Chinga boy

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
412
101
Hi wadau,Nauza kiwanja maeneo ya mbezi msumi nusu ekari bei maelewano baada ya kukiona cm no 0719418051
 
Hi wadau,Nauza kiwanja maeneo ya mbezi msumi nusu ekari bei maelewano baada ya kukiona cm no 0719418051
Hiyo ni Mbezi ya Kimara au Mbezi ya upande wa Makongo?
Umbali from main road?
Kimepimwa?
Bei ya maelewano si inayo ya kuanzia pia?
 
Mbezi ya kimara unafika mbezi mwisho upande wa kulia kuna kituo cha dladla km 5 frm Mrgro road hakijapimwa bei frm mil 12
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom