nauza kiwanja

Chiwa

JF-Expert Member
Apr 17, 2008
3,971
4,730
kipo twangoma km17 kutoka ferry kina ukubwa wa mita za mraba 984.
kimepimwa na kina hati halali.
mbele kina open space kubwa inaweza kutumika kwa bustani ya mbogamboga
kinafikika vizuri.
kipo block 11
kwa mawasiliano 0783 226144,0713226144
 
Bila bei hujafanya kitu,
Halafu tuangoma si ndio wale wanaipitiaga kongowe mbele ya mbagala??
 
Weka bei hiyo tunaweza tukanunua,toangoma ya wapi???? Mwembe mtengu/Mikwambe/Fun city/Kwa sako/Njia panda ya Pinda(Ponde) wapi kiwanja chako kipo????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom