Nauza kiwanja sehemu ya Mkoka Kongwa Dodoma

talibo

Member
Sep 1, 2017
67
28
Habarini wana jamvi
Natumai hamjambo
Nauza kiwanja cha 3/4 ya ekari kwa shilingi lak nane
Kiwanja kipo maeneo y MKOKA KONGWA DODOMA ANAYEHITAJI
ANIPM
Nawatakia weekend njema
 
Ebu eleza vizuri mkuu maana si kila mtu anapajua/anakaa mkoka kongwa.

1.umbali toka dodoma mjini
2.maji
3.umeme
4.barabara vyote vipo kwenye eneo hilo?
 
Ebu eleza vizuri mkuu maana si kila mtu anapajua/anakaa mkoka kongwa.

1.umbali toka dodoma mjini
2.maji
3.umeme
4.barabara vyote vipo kwenye eneo hilo?
Kutoka dodom mjin had mkoka ni mwendo wa masaa 2na30
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom