Nauza kiwanja mkuranga/au km naweza kuweka rehani nipate mill 1

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
May 24, 2008
10,942
428
Kiwanja kipo km 30 kutoka mbagala

ni njia iendayo kusini mwa tz,,

nauza mill 1.3 maelewano yapo

kina hati ya serikali ya kijiji

ni robo ekari kipo nusu km kutoka barabara kuu iendayo rufij na mikoa ya kusini.
 
Kiwanja kipo km 30 kutoka mbagala

ni njia iendayo kusini mwa tz,,

nauza mill 1.3 maelewano yapo

kina hati ya serikali ya kijiji

ni robo ekari kipo nusu km kutoka barabara kuu iendayo rufij na mikoa ya kusini.

Watanzania wengi ukituambia kilometa kadhaa kutoka Mbagala au sehemu flani ni ngumu kukuelewa, wewe taja hizo kilometa na kusema kipo eneo gani? (Vikindu, Kipalang'anda, Vianze, Malogolo?)
 
km mpk mwezi wakwanza kitakuwepo 0712690760 nipigie nakama utataka nusunitafute nyingine mwezi wa 1 huko mkuranga nakutaka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom