Nauza kiwanja kipo korogwe mjini, kimepimwa na kina letter of offer | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nauza kiwanja kipo korogwe mjini, kimepimwa na kina letter of offer

Discussion in 'Matangazo madogo' started by MAKOLA, May 5, 2012.

 1. M

  MAKOLA Member

  #1
  May 5, 2012
  Joined: Jun 5, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  ukubwa 3600square meter
  bei 20,000 maelewano yapo
   
 2. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Are you serious? kina hati? na hiyo 20,000 ni Tsh au Ksh?
   
 3. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  hiyo bei mgosi, hata kama kiwanja kinaugomvi huwezi kuuza kwa bei hiyo.
  naishi korogwe kwa hapa mjini hakuna kiwanja cha chini ya sh. 2m na kwa vile vinavyogawiwa na Halimashauri ya Mji kwa mara ya mwisho bei ya chini ilikuwa 1m navyo vipo nje ya mji kidogo
   
Loading...