Nauza Kiwanja 30m x 22m

Matumizi ya eneo hilo ni yapi? Isijekuwa eneo la kuabudia au soko au nursery school au open space? Hiyo barabara ikipanuliwa mita 15 kiwanja hakitamegwa hicho?
 
Wandugu,
Kiwanja kipo eneo la Kivule (kitunda), manispaa ya Ilala. Kimepakana na barabara kubwa ya mtaa, eneo limejengeka tayari, umeme upo jirani na Tanesco ndio wanasimika nguzo kuelekea eneo la kiwanja, kipo tambarare,...
Bei ni TShs 7m.
NB: eneo halijapimwa (not surveyed)ila limepangika vizuri.
Karibuni

Kivule imeshapanda bei kiasi hicho?mie nilipelekwa huko enzi hizo heka laki 4.
 
Jamani, kununua eneo ambalo halijapimwa kuna tatizo gani?
 
Ushauri nenda kwa watu wa mipango miji wakuambie hilo eneo ni kwa ajili ya nini usije nunua dampo area
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom