Nauza kiwanja -1984sqM-Kimepimwa na kina hati safi inayolipiwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nauza kiwanja -1984sqM-Kimepimwa na kina hati safi inayolipiwa!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Vakwavwe, Nov 21, 2011.

 1. V

  Vakwavwe JF-Expert Member

  #1
  Nov 21, 2011
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kipo Buyuni karibu na Chanika,unapita Pugu Secondary.
  barabara ni za uhakika zilichongwa na wizara wakati wa upimaji...sasa hivi kuna mradi mkubwa wa nyumba za PSPF kwenye maeneo haya unendelea.
  Bei ni Pesa halali ya KiTz Millioni TISA(9,000,000).

  kama uko interested niPM tufanye biashara.
   
 2. L

  Landed Property Member

  #2
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakuunga mkono kuhusu uzuri wa eneo hilo.
  Nilitembelea eneo hilo mwezi uliopita hakika patakuwa pazuri sana hasa kutokana na mradi wa nyumba za PSPF ambazo zipo kwenye finishing kwa sasa.
  Hivi zile nyumba wataziuza kwa mtindo gani? Kama unafahamu?
   
 3. E

  Edo JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2011
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Sio mradi wa PPF, ni PSPF!
   
 4. V

  Vakwavwe JF-Expert Member

  #4
  Nov 22, 2011
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  sorry,sijui wataziuzaje mkuu.
  lkn kwa kawaida huwa wanaanza na wanachama wao na baadaye zikibaki zinakuwa open kwa public.
   
 5. V

  Vakwavwe JF-Expert Member

  #5
  Nov 22, 2011
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  thanks, niliona bango tu na sikuzingatia sana. you might be right.
   
Loading...