INAUZWA Nauza kitanda niweze kujikimu

Simu yoyote yenye uwezo wa kuingia jf basi pia ina camera na inatoa picha fresh, huwez kuingia jf na kitochi.
Mm ua naingia jf na hik kwaio tengua kaul yako kwa mwamba
JPEG_20210707_153433_1138295213835502746.jpg
 
Nauza kitanda changu(bila godoro) size ni 5*6 ni mbao ngumu. Nimenunua miezi 3 tu iliyopita kwa sh 170,000 mtu akija na 130k namuachia. Sina simu ya kupigia picha ila bado kipya,location kigamboni dar.

Hali imekuwa mbaya,itanisaidia wakati nasubiri hata kibarua(naamini nitapata soon kwa uwezo wa Mungu).

Kama sio mnunuzi sio lazima sana ucomment,you may want to reserve your ink for future use. ASANTENI NA KARIBUNI
Pole na mitihani
Labda ungeweka wazi fani yako, ujuzi wowote ulionao, na utayari wa kufanya kazi gani, hii itaweza kusaidia kupata msaada wa haraka.

Naungana na mawazo ya kusubiri kutouza kitanda
 

Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom