Wazee wa mbolea a.k.a utumbo mpanaUsingeweka Picha, wahuni wangeelewa Kisamvu kingine.
Wahuni sio watu hahaaWazee wa mbolea a.k.a utumbo mpana
Haaaaaa....Usingeweka Picha, wahuni wangeelewa Kisamvu kingine.
Ndio, si unaona kipo kwenye kopoKisamvu cha kopo?
Hata Mimi nilikuja fasta Sana.Usingeweka Picha, wahuni wangeelewa Kisamvu kingine.
maelezo yako hayajitoshelezi, ongeza taarifa muhimu kwa mfano , mtu aliyepo mwenge ama mbagala ama sehemu nyingine yeyote akihitaji utaratibu ukoje, bei yako ni kiasi gani, na hivyo vitu vingine ulivyoongeza ni vitu gani na ni kwa sababu zipi nkKaribuni kisamvu ni kilaini, kizuri na kitamu. Napatikana dar, mbezi beach 0783358788 View attachment 1228587
ni chakula cha kukuNi nini hicho?! (kwa sauti Ya Kiduku Lilo )
Duuuh!Ndio, si unaona kipo kwenye kopo
Karibuni kisamvu ni kilaini, kizuri na kitamu. Napatikana dar, mbezi beach 0783358788 View attachment 1228587