Nzuri MkuuMkuu habari
Nahitaji fasta nipo singida 0769294681Kama unahitaji visimbusi hivyo karibu.
Bei kwa vyote viwili ni 230000 kwa aliyeko tayari tafadhari tuwasiliane
Mie Ninacho kama dsmUngekuwa unauza kimoja kimoja ninhechukua Cha DSTV aise.AZAM ninacho
Fanya utafiti vizuri, bei nzuri hiyo jamaa anauzaMkuu, hiyo bei yako mbona ni bei ya kuzinunua mpya kutoka dukani, azam wanauza 160,000 dstv nao wanauza elf 90 ila saa wana ofa ya elf 60 au 70 kama sijakosea!!!!
Mie Ninacho kama ds
hayo maneno yamekaa kibiashara tu mkuu, ukinunua wanakuambia wanakupa ofa ya miezi mitatu ila kiuharsia umelipa na elf 60 ya kifurushi cha miezi mitatu so ukiangalia hapo kwa umakini utaona bei yake halisi!!!Mkuu umenunua kitambo, sahiv azam wanauza 210000
210k wanakupa na kifurushi cha juu kwa miezi mitatu. Kifurushi cha juu ni 28k so bei ya king'amuzi ni 150kMkuu umenunua kitambo, sahiv azam wanauza 210000