Nauza kin'amzi cha azam na dstv Mwanza

Mkuu, hiyo bei yako mbona ni bei ya kuzinunua mpya kutoka dukani, azam wanauza 160,000 dstv nao wanauza elf 90 ila saa wana ofa ya elf 60 au 70 kama sijakosea!!!!
Mkuu umenunua kitambo, sahiv azam wanauza 210000
 
Mkuu umenunua kitambo, sahiv azam wanauza 210000
hayo maneno yamekaa kibiashara tu mkuu, ukinunua wanakuambia wanakupa ofa ya miezi mitatu ila kiuharsia umelipa na elf 60 ya kifurushi cha miezi mitatu so ukiangalia hapo kwa umakini utaona bei yake halisi!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom