Nauza Jaba la kuhifadhia maji

Nipo UDSM ndio kwanza naingia mwaka wa pili,sina familia.
Duu pole sana jembe, hivi huna baba, mama, kaka, dada, ba mdogo, ma mdogo nk nk nk, wamekufa au umezaliwa hivyohivyo bila ya wote hao?
 
Chooni kwako lazima nitakuwa kuchafu sana. Chooni kunapashwa kuwe kusafi uingie miguu peku, uweze hata kunywa chai huko.
Aisee sinunuagi hivi vyombo vilivyotumika...hilo jaba waweza kuta lilikuwa linatumika chooni
 
Duu pole sana jembe, hivi huna baba, mama, kaka, dada, ba mdogo, ma mdogo nk nk nk, wamekufa au umezaliwa hivyohivyo bila ya wote hao?
Asante.
Baba alifariki mwaka 2003 na mama 2014.
Hao wengine wapo ila nikiomba majibu ni wana hali mbaya kiuchumi.
Tatizo lipo kwangu hivyo huwezi kuamini.
 
Sijui ni kwann watu wanapenda kukera wenzao sio vyema kabisa .Mtu anaweza kua na shida ya ml1 , ikasalia 4000 tu . Mambo ya kusaidiwa sio kila familia tusikariri maisha.
 
Kwani jiaba halijauzwa bado niletee mwenge nikingie maji ya mvua kuna buku2 hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom