Nauza iphones

huyu Deimos nimemtumia anasema sim anasema hajaipata na ela hajanipatia kwel najuta iPhone 5 yangu

Daaah mkuu kweli umemtumia kwa kumuamini namna hiyo!? Pole ila hiyo kama umejitakia pia, unamuamini vipi mtu kwa kumpa mzigo bila malipo tena mkoani. Mimi nilikataa.
 
Daaah mkuu kweli umemtumia kwa kumuamini namna hiyo!? Pole ila hiyo kama umejitakia pia, unamuamini vipi mtu kwa kumpa mzigo bila malipo tena mkoani. Mimi nilikataa.
dah kk nlkua naona ni mtu wa maana kumbe alinipumbaza ila hatafika mbali na hiyo simu
 
Habari wakuu. Na wote wenye ndoto za kumiliki Iphones.

Iphones used zilizo katika hali bora zinapatikana. Unachotakiwa ni jambo jepesi tu. Weka iphone unayohitaji nitakupatia bei zake na kukufikishia. Karibuni nyote.

Kwa haraka haraka:

Iphone 4s : 300,000
Iphone 5: 400,000 - 450,000.
Bila kusahau iphone 5s, 6, 6s, 6+.

Nyingie weka order nitakufikia kadri ya uwezo wangu kwa bei rafiki.
Tuma no yako inbox ...
 
Back
Top Bottom