ni factory Unlocked?N black iphone
16 gb
Haina michubuko kabsa
Orgnal
Miziki zaid ya elfu moja ipo ndan
Charger yake utapata pale utakapo nunua
Bei shiling za Kitanzania 400,000/=
Inazungumzika
Anaehitaj aniPm.
Sio mbaya ukifanya region sourcing,,,,haha kma upo serious nifate inbox