Nauza hereni pair mbili za gold

masai dada

JF-Expert Member
Dec 29, 2013
15,590
12,166
Bado ni mpya nimezivaa mwezi mmoja

ni gram mbili kila moja
nilinunua laki 4

nauza laki 3 na 80
maongezi yapo unahitaji ni pm
 
Attachments

  • 1401121334006.jpg
    1401121334006.jpg
    12.8 KB · Views: 432
Bado ni mpya nimezivaa mwezi mmoja

ni gram mbili kila moja
nilinunua laki 4

nauza laki 3 na 80
maongezi yapo unahitaji ni pm
peleka mjini kwa jewels wa kidosi watakupa pesa, wanapima uzito wanakata asilimia yao unachukuwa cash yako.

kuna vitu vya kutafuta wateja mjini lakini siyo dhahabu, masonara wenyewe ndio wateja namba moja.
 
Bado ni mpya nimezivaa mwezi mmoja

ni gram mbili kila moja
nilinunua laki 4

nauza laki 3 na 80
maongezi yapo unahitaji ni pm

Heleni ntazinunua bure ili ubaki nazo mwenyewe ila nimefurahia vidole vyako ni vizuri sana kupakata mashine kwa ufanisi mkubwa naona mme anafaidi, vidole vinatia hamasa vile je kule kwenyewe kukoje? Karucee umeziona Heleni?
 
ujinga huu.
 
peleka mjini kwa jewels wa kidosi watakupa pesa, wanapima uzito wanakata asilimia yao unachukuwa cash yako.

kuna vitu vya kutafuta wateja mjini lakini siyo dhahabu, masonara wenyewe ndio wateja namba moja.

okey nipeleke posta eeh?????
 
Heleni ntazinunua bure ili ubaki nazo mwenyewe ila nimefurahia vidole vyako ni vizuri sana kupakata mashine kwa ufanisi mkubwa naona mme anafaidi, vidole vinatia hamasa vile je kule kwenyewe kukoje? Karucee umeziona Heleni?

mimi siuzi HELENI nauza HERENI
 
Heleni ntazinunua bure ili ubaki nazo mwenyewe ila nimefurahia vidole vyako ni vizuri sana kupakata mashine kwa ufanisi mkubwa naona mme anafaidi, vidole vinatia hamasa vile je kule kwenyewe kukoje? Karucee umeziona Heleni?

copy to Karucee
 
Last edited by a moderator:
kwa taarifa yako huwezi pata pesa nzuri kwa kuuza dhahabu iliyovaliwa. normaly ni busu bei. habari ndio hiyo
 
Kuna jamaa anauliza hapa, umeziiba wapi? Anataka kumnunulia mkewe ila anaogopa damu za mwenye hizo heleni kumrudi mkewe. Anaomba ufafanuzi kama ni za wizi aachane na kukutafuta.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom