Nauza Gear box ya RAV4

G.T.L

JF-Expert Member
Jul 15, 2012
773
1,247
Wakuu, nauza vifaa vilivyo kwenye gear box ya Rav4 4WD, Engine type 3s ya 1995
Gear box nimeishusha juzi nikapachika mpya kwenye gari yangu.

Mawasiliano: 0652902994
 
Mkuu unauza scrap?maana umeitoa ikiwa mfu,inabidi upime chuma chakavu tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom