Nauza gari suzuki sport milango mitatu

luckman

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,211
371
Ipo katika hali nzuri na ulaji wake wa mafuta ni mzuri-kwa yeyote mwenye kuitaji please call me 0713 362898
bei maelewano!
 
Odometer
displacement
ac
cd
colour
ndo vitu tunavoitaji weko tujue pamoja na picha.
 
Ipo katika hali nzuri na ulaji wake wa mafuta ni mzuri-kwa yeyote mwenye kuitaji please call me 0713 362898
bei maelewano!
hivi kwa nini watu hamjifunzi ???
kila siku wanunuzi tunataka muweke picha na amelezo ya kutosha ikiwemo bei.
we unaibukatu na kusema unauza wakat si hatuoni???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom