Nauza gari jamani !!

ah ah ah kumbe ww si mjanja,ungekuwa mjanja ungeziba kabisa ili wengine wasitumie kabsa!!!!!!!!!!
 
laptops,perfume,mashat,maybe useme unataka kuuziwa nn?

Hey pearl. unajua nilikua na Mitsubish kama yakwako. ya mwaka 2000. km 125,000. watu walikua wanaiponda sana wanasema hizo gari ni vimeo inaweza kukufia muda wowote. nilitangaza bei ya 8m watu wakagoma. niliiamua kuendesha mwenyewe mpaka Iringa nikamkamata m2 kwa 8.7m. Niliiuza kwasababu ya maneno ya watu!!
Kwani wewe ishaanza kukusumbua?
if yes
Unanyonya mafuta wapi. coz ile inatakiwa BP, GAPCO NA TOTAL BAAS!!
need I say more?
 
kiukweli wala haijanisumbua mpz,mafuta mm ni Gapco always,but nataka nichukue Nissan safari thats the car of my dream so nataka niongezee nilipopungukiwa,maybe nikauze mkoani,ingawa kimtindo naipenda sana.

Ukweli unabaki pale pale!! mimi ile gari niliuza kutokana na maneno ya watu! ila nilikua naipenda sana! its the most comfortable car I have ever owned!! Hata wewe najua washaanza kukuogopesha. hata fuse ikiungua ukienda garage utaanza kusikia ''lakini hizi gari mama...'' unapewa stori unatamani umpate mtu umuuzie kwa nusu bei.
 
duh.
kaaaz kwerkwer.
mama pafyumu shngapi unauza?
NAOMBA NITUMIE QUOTATION BASI KWENYE PM, SERIOUS.
 
mmmmmmmmmmmmmh thats very true
Ukweli unabaki pale pale!! mimi ile gari niliuza kutokana na maneno ya watu! ila nilikua naipenda sana! its the most comfortable car I have ever owned!! Hata wewe najua washaanza kukuogopesha. hata fuse ikiungua ukienda garage utaanza kusikia ''lakini hizi gari mama...'' unapewa stori unatamani umpate mtu umuuzie kwa nusu bei.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom