Nauza engine ya Mitsubishi Pajero Mini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nauza engine ya Mitsubishi Pajero Mini

Discussion in 'Matangazo madogo' started by MwanaHaki, Aug 12, 2010.

 1. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #1
  Aug 12, 2010
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  Waungwana

  Ninauza engine ya gari yangu, Mitsubishi Pajero Mini. Ni nzima, anayetaka kuiona anitwangie PM au SMS, 0786-019019. Bei yake ni chini ya bei ya soko. Ukienda pale Ilala, Mtaa wa Lindi (kwenye maduka ya used auto spares) bei yake si chini ya TZS 1,600,000/=! Mimi naua TZS 1,000,000/=!

  Asanteni kwa ushirikiano wenu.
   
 2. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mie nataka engine ya CANTER 32 au 33 kama unayo mkuu tuongee biashara na hiyo iko na power gani kaka?
   
 3. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #3
  Aug 12, 2010
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  Engine ina uwezo wa 960 cc. Ni engine ndogo, kwa wale wenye magari aina haya, yanayojulikana kama Kei Car (neno la Kijapan), ni magari ambayo yana high fuel economy, yaani, hayatumii mafuta mengi.

  Kwa mawasiliano zaidi, nitafute kwa simu.
   
 4. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,001
  Trophy Points: 280
  nashukuru mkuu, vipi kuna uwezekano wa kupata engine ya 4D56 turbo? ni Mitsubishi pia
   
 5. m

  mtozwaushuru Member

  #5
  Jul 11, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mimi nimeona kwenye mtandao pajero mini zina cc 660, jr ndiyo 1090/1100. hii mini ya 990 ni ya mwaka gani?
   
 6. a

  andreakalima JF-Expert Member

  #6
  Apr 22, 2016
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 2,914
  Likes Received: 1,789
  Trophy Points: 280
  natafuta engine ya Carina Ti 5A
   
Loading...