Nauza chupa tupu (glass)

Sally

Member
Feb 25, 2008
42
0
Kwa anayehitaji chupa tupu za kioo (glass) ninazo nyingi naziuza kwa Dar Es Salaam.Anayehitaji awasiliane nami.
 
tangazo lako tata. Chupa za soda, bia, au. Hizo chupa zako zina matumizi gani hasa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom