Nauza Blog

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
4,768
2,000
Mkuu hata kwa 50 hupati mteja, yaani hata barua haijafika! Watu wanapenda kununua iliyopokea barua na kutoa mara 6 au zaidi. Sababu ni kwamba blog ambayo haijawahi kutoa wala haijapata barua ni risk yaani 50/50.
Haijawahi toa pesa, adsense ni non hosted ina salio 2.6$.
 

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
4,768
2,000
Unamaanisha blog yenye content pamoja na adsense unaweza ipata kwa 50,000/=?
Asante kwa maoni yako!
Mkuu nafanya blogging tangu 2012 mpaka leo na sehemu kubwa ya mapato yangu ni ktk blogging, yaani Shida kubwa sio gharama ulizotumia kuandaa, shida ni hali ya account yako hakuna blogger mzoefu anayeweza kununua account ambayo haina hata barua kwa 50,000 hayupo... mazagazaga na Machozi ya Simba na algorithim njooni huku mnunue account kwa bei elekezi
 

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
4,768
2,000
Naamini unafahamu kuwa barua ni kwa ajili ya account ya adsense na siyo blog. Bei hiyo niliyoiweka ni ya jumla yaani account ya blog na account ya adsense. Nashukuru kwa mchango wako, ningependa pia kupata ujuzi zaidi kutoka kwako kama hutojari.
Mkuu wazoefu hawaangalii content, wanajali zaidi account ya AdSense ungekuwa ulaya ungeuza content ila bongo kupata pesa eti kwasababu site ina content sahau, wanaangalia na kujali AdSense account
 

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
4,768
2,000
Hiyo 80,000 ni adsense pekee na 250,000 ni adsense na blog. Bilashaka umeielewa.
Hakuna atakayekubali kununua AdSense account bila domain si unajua tangu November 2018 walibadili policy? Zamani ukiwa na non hosted account unaweza kuitumia kwenye site yoyote ile sikuhizi wamebadili unaitumia kwenye site ambayo wame I review na kuridhishwa nayo.... Ukiuza hiyo account hata kwa elfu 30 ntakupa elfu 20 bure.
 

algorithim

JF-Expert Member
Aug 29, 2016
880
1,000
Mkuu nafanya blogging tangu 2012 mpaka leo na sehemu kubwa ya mapato yangu ni ktk blogging, yaani Shida kubwa sio gharama ulizotumia kuandaa, shida ni hali ya account yako hakuna blogger mzoefu anayeweza kununua account ambayo haina hata barua kwa 50,000 hayupo... mazagazaga na Machozi ya Simba na algorithim njooni huku mnunue account kwa bei elekezi
hahahaha, i think jamaa ni comedian
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom