nauza blackerry storm 2/9530 au kama tunaweza exchange simu is ok

frozen

Senior Member
Aug 12, 2010
135
32
Habari wanajamvi, nina blackberry yangu storm 2/9530 nimeitumia kwa mda mfupi sana, tatizo na shindwa access bb service na internet ila kwenye upande wa kutuma sms na kupokea na kupiga simu ipo ok. Nimeamua iuza kwa tsh laki 4 au kubadilishana na mtu, simu kwa simu. Ambaye yupo intreste pls PM me. Asante
 
Bb stoorm 2 / bb 9530 kwa laki nee tuu, ipo katika hali nzuri sana. I metoka usa
 
Habari wanajamvi, nina blackberry yangu storm 2/9530 nimeitumia kwa mda mfupi sana, tatizo na shindwa access bb service na internet ila kwenye upande wa kutuma sms na kupokea na kupiga simu ipo ok. Nimeamua iuza kwa tsh laki 4 au kubadilishana na mtu, simu kwa simu. Ambaye yupo intreste pls PM me. Asante

Boss hapo ktk kubadilishana Vp Kama Nina Nokia Toch?
 
Habari wanajamvi, nina blackberry yangu storm 2/9530 nimeitumia kwa mda mfupi sana, tatizo na shindwa access bb service na internet ila kwenye upande wa kutuma sms na kupokea na kupiga simu ipo ok. Nimeamua iuza kwa tsh laki 4 au kubadilishana na mtu, simu kwa simu. Ambaye yupo intreste pls PM me. Asante
Isiwe imetoka kwenye kampuni ya Verizonwiress!!Maana hiyo kuweka salio lazima wakurushie uwezi kujua salio lazima utumie njia yakuuliza kwakusikilizia masikioni,Uwezi kuingia internet bongo mpaka uwe na Verizon Interpriss PIN kiukweli ni mateso!!
 
kama vipi nikupe Nokia C3 nakuongezea na dola 50 kama upo tayari ni PM
 
Asante mkuu..nimefanikiwa I _unlock so kwa sasa ipo ok.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom