Nauza Battery Dry Cell Batteries 170Ah, 12v Kwa 200,000 tu

GreenHouse

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
280
195
Nauza Used Batteries za Solar (Dry Cell) Zenye Ampere 170 na Volts 12.
Zinaweza kutumika kama Battery Bank ya Solar Power au Umeme wa kawaida.
Ziko mbili na kila moja inauzwa Laki Mbili tu (200,000).......****Mpya inauzwa 1,200,000 so grab a bargain****-------Nimeshazitumia kwa muda sasa na Naongeza Nguvu (Capacity) ya Battery Bank kwahiyo Hazinifai tena kwa matumizi yangu...
Zimetengenezwa na NARADA (One of the Best Battery Manufacturers in The World)...
Zipo Dar Es Salaam.
Kwa Mawasiliano piga simu namba 0714881500.

NB: Please do your research Kabla hujapiga simu... Im not an electrician....
NB: Kwa Msaada tu Naweza kuwasha Fridge kwa Masaa 12, TV 42 inch LED kwa masaa Nane, Pasi Kwa Saa Moja, Taa na vitu vingine vya ndani siku nzima....(Kwahiyo Battery zinafanya kazi sawa sawa...)
Asanteni.

Narada1.jpg Narada2.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom