Nautafuta wimbo huu wa NUTA JAZZ(Miaka 10 ya uhuru)

Wonderful

JF-Expert Member
Apr 8, 2015
7,348
5,977
Nakumbuka baadhi ya mistari unaimbwa hivi:
HATUTAFANYA KITU TUTASHINDWAA!
SASA TUNAWAITAA WAJE KUONA EE,MAENDELEO YETU YANAKWENDA VEMAA!!
Please mwenye wimbo huo anipe maana nimeutafuta sana sijaupata.
 
Mimi natafuta wimbo uitwao Sekuntonza wa Juwata/Nuta Jazz niliuona ukipigwa TBC mwaka 2005 ukiimbwa na Msondo Ngoma Baba ya Music Discipline Fair Play.
 
Nenda pale Temeke stereo, utaupata kuna mtu anazo nyimvo nyingi za zamani, mimi nikosapo wimbo mtandaoni naenda pale. Hutopata kariakoo wale sehemu zingine, wauza nyimbo wengi ni kizazi kipya.
 
Nipe contact mkuu kama unazo ili nikachukue mzigo WA maana na mm Ni mpenz wa hzo ngoma
 
Mimi ninazo zingine tu za zamani ila huu sina, ila utahangaika mji mzima ila pale lazima upate jibu. jamaa anapatikana pale temeke mwisho stand hapapotezi, ni swala kufika pale tu, ukiulizia unaonyeshwa tu.
 
Nakumbuka baadhi ya mistari unaimbwa hivi:
HATUTAFANYA KITU TUTASHINDWAA!
SASA TUNAWAITAA WAJE KUONA EE,MAENDELEO YETU YANAKWENDA VEMAA!!
Please mwenye wimbo huo anipe maana nimeutafuta sana sijaupata.
MKUU KWA ANAEJUA NYIMBO HAITAJI KIIMBIWA BAADHI YA MISTARI, MADHALI AMETAJA JINA LA WIMBO. INGEKUA HAJUI JINA LA WIMBO SAWA, ANGEWEKA BAADHI YA MISTARI, WATU WAKAMPA JINA LA WIMBO, AENDE TEMEKE MWISHO STAND HAKUSI HUO WIMBO, NA HIVI SASA NINAPOANDIKA NIPO HAPA NGOJA NIKAULIZI HUO WIMBO.
 
Nakumbuka baadhi ya mistari unaimbwa hivi:
HATUTAFANYA KITU TUTASHINDWAA!
SASA TUNAWAITAA WAJE KUONA EE,MAENDELEO YETU YANAKWENDA VEMAA!!
Please mwenye wimbo huo anipe maana nimeutafuta sana sijaupata.
Ninao tayari huyo wimbo mhenga mwenzangu.
 
Dahhh!please nisaidie mkuu ata kwa WhatsApp,maana sijapata nafasi ya kuja huko Dar labda mpaka around xmas.
Kama upo tayari kunisaidia nijulishe ili nikupe no yangu ya WhatsApp by PM
 
Hamna shida ndugu yangu fanya hivyo nitakutatumia ndugu yangu.
 
Back
Top Bottom